Tuesday, June 12, 2012

TANZANIA FOOTBALL NEWS: DAMAYO AGOMBEWA NA KLABU KUBWA NCHINI


KLABU za Simba, Yanga na Azam tangu juzi zinapigana vikumbo kuwania saini ya kiungo mkabaji wa JKT Ruvu, chipukizi Frank Damayo na hadi sasa hakuna timu ambayo imefanikiwa kuinasa.

Damayo mwenyewe amesema ni kweli timu zote hizo na nyingine mbili, Mtibwa Sugar na Coastal Union zinamfuatilia ila hadi hadi saa 5:00 usiku alikuwa hajasaini timu yoyote.Damayo alisema timu inayomtaka kwanza lazima izungumze na klabu yake na maelekezo atakayopewa na mwajiri wake ndiyo

No comments:

Post a Comment