Friday, June 29, 2012

Hatimaye mwanamuziki Adele ampata wa kumtuliza moyo

Mwanadada Adele, mwenye umri wa miaka 24, leo ametangaza kwenye blog yake, kuwa anatarajia mtoto na mchumba wake Simon Konecki. Mwanamuziki huyo anaetamba sana kwa kibao chake cha "someone like You"  ambaye ni mshindi wa tuzo sita za Grammy mwaka huu  ameandika " I wanted you to hear the news direct from me, obviously we’re over the moon and very excited but please respect our privacy at this precious time. Yours always, Adele xx."
 Adele na Mchumba wake Simon 
Congratulations to you Adele.

No comments:

Post a Comment