
Shamir alichaguliwa kuwa waziri mkuu mara mbili, mara ya kwanza ilikuwa 1983, na mara nyingine 1986. Alikuwa mtetezi wa makazi ya Wayahudi na alipinga mabadilishano ya maeneo na Wapalestina. Anatarajiwa kuzikwa sambamba na kaburi alilozikwa mke wake huko Jerusalem kesho Jumatatu.
No comments:
Post a Comment