Saturday, June 30, 2012

MBEYA UPDATE: SUPER J NA NEYLEE WASHINDAMwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya Tamasha la Serengeti Fiesta 2012 "Bhaasi" Sebastian Maganga akiwapongeza washindi wa Serengeti  Fiesta Super Nyota Super J. kulia na Neylee, mara baada ya wasanii hao  kuibuka washindi katika shindano hilo lililofanyika usiku huu kwenye klabu ya Vibes jijini Mbeya, wasanii hawa watauwakilisha mkoa wa Mbeya katika matamasha mbalimbali ya Serengeti Fiesta mikoani

No comments:

Post a Comment