Saturday, June 30, 2012

MBEYA UPDATE: MAKAPTENI WA VILABU 8 BARANI ULAYA MKOANI MBEYA

Serengeti Soccer Fiesta Bonanza limewakutanisha pamoja mashabiki wa vilabu 8 barani Ulaya mkoani Mbeya ambapo makapteni wa masahabiki wa vilabu hivyo leo mchana wamekuwa na mahojiano ya LIVE na redio Mbeya FM kuhusu Bonanza la Kesho katika Uga wa Chuo cha Uhasibu T.I.A Jijini Mbeya.


Hapa wanaonekana katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment