Saturday, June 30, 2012

MBEYA UPDATE: DRAW YA KUPANGA MAKUNDI YA SERENGETI FIESTA BONANZA YAFANYIKA


MAPEMA leo mchana kumefanyika Draw ya kupanga makundi yatakayoshirikisha klabu 8 zenye mashabiki wake mkoani Mbeya.


Klabu zitakazoshiriki kesho katika Serengeti Soccer Fiesta Bonanza ni Arsenal, Bayern Munich, Barcelona, Man City, Man UTD, Chelsea, Liverpool na Real Madrid.

Draw hiyo imefanyika LIVE katika Kituo cha Redio Mbeya FM katika viunga vya Jiji la Mbeya, na Shafii Dauda akishirikiana na Crew nzima ya Mbeya FM

Kundi A
Arsenal
Barcelona
Chelsea
Liverpool

Kundi B
Bayern Munich
Man City
Man UTD
Real Madrid

No comments:

Post a Comment