Friday, June 29, 2012

MBEYA UPDATE: EMMY SANGA MAJUMA MAWILI BAADAYA FUNGATE

JUNI 2 , 2012 itakuwa ya Kumbukumbu kubwa sana kwa Mtangazaji  Emmy Sanga wa Redio Highlands FM iliyopo Jijini Mbeya kuachana na ukapera na kuanza maisha ya ndoa.

Kamera za JAIZMELALEO ziliwanasa wakiwa katika matembezi yao Jijini Mbeya baada ya wiki moja ya FUNGATE.BOFYA HAPA UONE 

http://jaizmelaleo.blogspot.com/2012/06/mbeya-update-hatimaye-emmy-sanga-afunga.html

No comments:

Post a Comment