Saturday, June 30, 2012

MBEYA UPDATE: WATOTO WAWILI WAGONGWA, DEREVA WA GARI AKIMBIA

WATOTO hao wamegongwa katika barabara ya Mbeya –Zambia jioni y leo majira ya saa 12:17 jioni eneo la Forest ya Zamani Jijini Mbeya. Polisi walifika mapema kujua ni nani. Na mashuhuda wamesema gari liliwafuata. Imeabainika watoto hao ni wakzi wa Airport Jijini humo walikimbizwa mara moja Hospitali ya Mkoa.No comments:

Post a Comment