Saturday, June 30, 2012

GLOBAL NEWS: WATU 11 WAFA KIMBUNGA KIKALI MAREKANI

Karibu nyumba  milioni 4 na maeneo ya biashara yalikuwa hayana  umeme  jana huku kukiwa na joto kali , mashariki mwa Marekani baada ya dhoruba iliyoathiri mfumo wa nishati hiyo kuanzia maeneo ya jimbo  la  Indiana mpaka New Jeresey.
 
Takribani watu 11 wameripotiwa kufa. Hali ya hatari ilitangazwa katika maeneo mengine ya Ohio, Viriginia na West Virginia. Hatua hiyo inatokana na kutokea kwa kimbunga kikali kilichotokea usiku wa kuamkia jana. 

No comments:

Post a Comment