Saturday, June 30, 2012

MBEYA UPDATE: JOHNSON JABIR KWA MARA YA KWANZA AKUTANA NA SHAFII DAUDA, MBWIGA NA JOHN BUKUKU

Kwa mara ya Kwanza Wachambuzi wa Soka nchini Tanzania Shafii Dauda na Johnson Jabir wamekutana mkoani Mbeya Juni 30, 2012. Shafii Dauda ni wa Sports Extra ya Clouds FM na Johnson Jabir ni Redio Mbeya FM zote za nchini humo.Pia Johnson Jabir amekutana na Mbwiga Mbwiguke na Blogger John Bukuku wa FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment