Sunday, June 24, 2012

TANZANIA POLITICAL NEWS: PICHA YA WIKI ILIYOPITA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Simanjiro,Christopher Ole Sendeka (kushoto)  na Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 22, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment