Tuesday, June 12, 2012

MBEYA UPDATE: SHIBUDA NI KATONE KADOGO TU


M
jumbe wa Kamati Kuu ya Taifa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Karatu Lazaro Titus Masai amesema John Shibuda sio chochote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza katika Mahojiano Maalum na Waandishi Habari mchana wa leo amesema  Shibuda hawezi kuwapotezea muda wa kufanya mambo ya maendeleo kwa ajili ya watanzania waliokiamini CHADEMA.

Lazaro amesema Shibuda ni Katone kadogo sana kwa watanzania zaidi ya Milioni 45 ni kama Jogoo anayewika Mchana wao kama CHADEMA wanampuuzia maana anaweza kuchelewesha harakati yao waliyoianza ya Movement for Change (M4C).

No comments:

Post a Comment