Monday, June 11, 2012

MBEYA UPDATE: FOF JUNI 29 KUFANYIKA METRO CUISINE


Ijumaa ya Marafiki (FOF) Mkoani Mbeya inatarajia kufanyika Juni 29 mwaka huu katika Ukumbi wa Metro Cuisine Jijini Mbeya kwa mrafiki hao kukutana na kushirikiana na kubadilishana mawazo mbalimbali.

No comments:

Post a Comment