Monday, June 11, 2012

GLOBAL NEWS: CCM MAREKANI WATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA BOB MAKANI


W
anachama wa CCM tawi la DMV tunaungana na watanzania wenzetu popote duniani kutoa salamu  Za rambi rambi kwa wanachama wa chama cha chadema kwa kuondokewa na kiongozi wao  mheshimiwa Bob Makani.

Mheshimiwa, Bob Makani atakumbukwa kwa hoja zake za kuchangia mambo mbali mbali yaliyoweza kulijenga taifa la Tanzania. Wanachama wa chadema wameondokewa na kiongozi imara katika safu za vyama vya upinzani.

Sisi wanancham wa CCM tawi la Washington, DC Maryland na Virginia tunatoa salamu za rambi rambi kwa ndugu wa marehemu na wanachama wa chadema    popote duniani.

Poleni sanaKatibu wa ccmTawi la ccm-DMVYacob KinyemMarekani

No comments:

Post a Comment