Tuesday, June 12, 2012

Gari ya The Mboni Show yapata ajali


  Gari iliyokuwa ikitumika kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kipindi kipya cha The Mboni show
Mwendesha kipindi hicho Mboni Masimba akiangalia gari lake lilivyoharibika
Katika ajali hiyo Mboni na dereva wake hawakuumia. Pole sana Mboni. 
picha kutoka: http://www.thembonishow.com

No comments:

Post a Comment