Thursday, June 14, 2012

MBEYA UPDATE: MAN RUJE AWATAKA WASANII KUONGEZA JUHUDI


Wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva mkoani Mbeya wametakiwa kujifua zaidi katika kadhia hiyo ili waweze kuingia katika Soko la Ushindani.
Katika Mahojiano maalum na Redio Mbeya FM Mchana wa leo; katika Kipindi cha “BONGO EAST 360” Nyota wa Muziki huo “Man Ruje” mkazi wa Mbeya amesema Mbeya Vipaji vipo vya kutosha cha kufanya ni kuongeza bidii katika medfani hiyo.

MAN RUJE ameongeza kusema juhudi nimambo yote hakuna linaloshindaikana kama wasanii hao Chipukizi wataongeza nguvu kwa kumaanisha kuingia katika Soko la Ushindani.  

 MAN RUJE ametoka na wimbo juma lililopita ambao amaesample kutoka TIP TOP CONNECTION katika ule wimbo wa " GOMA LA MANZESE" wa kwake unaitwa " GOMA LA SKULI" "

MAN RUJE" ata-perform katika MISS REDD'S NYANDA ZA JUU KUSINI

No comments:

Post a Comment