Tuesday, June 12, 2012

MBEYA UPDATE: BLACK TALENT LIKIZO TIME KUFANYIKA JUNI 23BLACK TALENT EVENTS LIKIZO TIME inatarajia kufanyika Juni 23 mwaka huu kuanzia saa 4 za asubuhi na kuendelea huku Kiiingilio kikiwa ni Buku 2 tu! Mabalozi wa Skuli kama mko interested na kuwa balozi wa Shule yako basi ni nafasi yako sasa kujirusha. Maeneo ya Garden ya Maishas Plus Soko Matola Maghorofani siku hiyo….!

No comments:

Post a Comment