Thursday, June 14, 2012

MBEYA UPDATE: AJALI ALMANUSURA IUE WOTE, 20 WAJERUHIWA
Z
aidi ya Abiria 20 wa Basi wakiwemo wanafunzi wa shule wamenusurika kupoteza maisha eneo la Maziwa Ituta mapema leo asubuhi katika ajali iliyohusianisha magari matatu.

No comments:

Post a Comment