Sunday, July 1, 2012

inakukumbusha wapi hii?

Kwa wapenzi wa muziki watakua wanamfahamu Monica Arnold,alitamba sana enzi hizo kwenye muziki na nyimbo mbalimbali zikiwemo "for you i will na Angel of mine"

Kwa sasa Monica ni mama wa watoto wawili Rodney na Romelo 
Mwaka 2010 Monica mwenye miaka 32 aliolewa na NBA player Shannon Brown mwenye miaka 27.  Hivi karibuni alitoa wimbo mpya akishirikiana na Brandy "It all belongs to me". Ila kwa sasa tujikumbushe kidogo enzi hizooo, mwaka 1998, wimbo ambao Monica alishirikiana  pia na  Brandy.Huu wimbo ulipendwa na ulitamba sana kipindi hicho; 
The boy is Mine-Monica & Brandy

   

No comments:

Post a Comment