Wednesday, July 4, 2012

EPL NEWS: POGBA ASAINI JUVENTUS

Kocha wa Klabu ya Manchester United , Sir Alex Ferguson amethibitisha kuondolewa kwa Paul Pogba (19) kumetokana na tabia yake mbaya.

Kocha huyo mwenye hasira amethibitisha kiungo huyo (Pogba) kwenda nchini Italia katika Klabu ya Juventus.

Fergie anasema walimtaka asaini mkataba mwingine msimu mwingine lakini alionyesha dharau na walishindwa kumshawishi 

"Pogba signed for Juventus a long time ago as far as we're aware, which is disappointing, I don’t think he showed us any respect at all so, to be honest, I'm quite happy that if they carry on that way, they’re probably better doing it away from us," Ferguson told MUTV.

The future of promising left-back Ezekiel Fryers also remains in doubt but Sir Alex is expecting the youngster back for pre-season training.

"We haven’t heard anything from Zeki Fryers I don’t know what’s happening there but he’s not been in touch with the club," he said.

No comments:

Post a Comment