Tuesday, July 3, 2012

JABIR JOHNSON KATIKA MICHEZO


Julai Mosi mwaka 2012 hatosahaulika kwa mashuhuda na mashabiki wa timu za barani Ulaya pale kulipofanyika bonanza la Serengeti Soccer Fiesta Bonanza katika viwanja vya TIA ambapo Mashabiki wa Man United walitwaa Kombe hilo.

JABIR JOHNSON mwandishi habari na mtangazaji wa Redio Mbeya FM alitia timu katika viwanja vya TIA ili kujumuika na mashabiki wengine wa vilabu vinane barani Ulaya kupata burudani.

Awali ya yote alianza kwa kupasha misuli.

No comments:

Post a Comment