Tuesday, July 3, 2012

JOKES FROM JABIR JOHNSON

Papa Benedict wa 16 alikwenda shopingi na kumchukua dereva wake ila alimwambia: "Naendesha mm leo.Hivyo,dereva alikaa upande wake wa kushoto na yy kukanyaga mafuta. Kufika mjn trafiki aliwasimamisha, kuangalia ndani ya gari alitimua mbio kumfuata mkuu wake.Mkuu wake naye alipofika na kuangalia ndani ny akala kona.Yule trafiki ikabidi amuulize mkuu wake: mbona unakimbia?Mkuu akajibu:Kama pp anamuendesha yule mtu,km sio yesu basi ni mungu mwenyewe.
Sent by Freddy Tony July 3, 2012

No comments:

Post a Comment