Tuesday, July 3, 2012

TUJIKUMBUSHE: SERENGETI SOCCER FIESTA BONANZA

Julai Mosi mwaka 2012 hatosahaulika kwa mashuhuda na mashabiki wa timu za barani Ulaya pale kulipofanyika bonanza la Serengeti Soccer Fiesta Bonanza katika viwanja vya TIA ambapo Mashabiki wa Man United walitwaa Kombe hilo.

Katika Jiji la Mbeya kulikuwa na Vifijo nderemo baada ya mashabiki kumuona Mbwiga Mbwiguke ambaye mara nyingi husikika katika Kituo cha Redio Clouds FM katika Sports Extra. Kila mtuy alitamkani kupiga naye picha Lakini kabla ya hapo uwanja hapo kabla ya Fainali ilikuwa hivi.
 KIKOSI CHA MAN CITY KATIKA BONANZA HILO KABLA YA MECHI

 ALEX LUAMBANO (anayeandika) AKIHAKIKI JEZI KWA AJILI YA KUZIGAWA KWA WAHUSIKA WA BONANZA


No comments:

Post a Comment