Tuesday, July 3, 2012

SIHITAJI MARAFIKI-FID Q feat YVONNE MWALE

huu wimbo umebamba mbaya, mitandaoni hasa Twitter umekua ni gumzo sana, pata muda wa kusikiliza mashairi ya huu wimbo...unagusa sana maisha yetu ya kila siku. Kifupi Fid Q is back....

No comments:

Post a Comment