Gelson Fernandes amejiunga na klabu ya Sporting Lisbon na kuachana na St. Etienne kwa usajili huru.
Nyota huyo wa kimataifa wa Uswisi alikuwa kwa mkopo katika klabu ya Udinese kwa akali ya nusu ya msimu hivyo atakuwa na Sporting Lisbon kwa mkataba wa miaka 4.
"I am delighted and I have to say thanks for the reception that I have received, I was astonished by it. Sporting have a great history and are hungry for victories," Fernandes told his new club's official website.
Fernandes, alizaliwa katika visiwa vya Cape Verde na ameichezea timu ya taifa ya Uswisi mechi 37 na alijiunga na St. Etienne akitokea Man City, hata hivyo alishindwa kukaa na klabu hiyo na kutolewa ka mkopo katika klabu za Chievo Verona na Leicester City kabla ya kwenda Udinese mwezi Januari.
No comments:
Post a Comment