Wednesday, June 20, 2012

TANZANIA FOOTBALL NEWS: TAIFA STARS YAWASILI SALAMAWachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa ndani ya basi mara baada ya Kuwasili katika Uwanja  wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam juzi usiku wakitokea nchini Msumbuji waliposhiriki katika Mchezo wa  mtoano wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika CAF. Taifa Stars ilitolewa katika michuano hiyo kw kufungwa kwa mikwaju ya penati na Msumbiji 8-7.

No comments:

Post a Comment