Friday, June 22, 2012

MBEYA UPDATE: WASANII WA BONGO FLEVA WATAKA UZALENDO


W
ASANII wa Bongo Fleva mkoani Mbeya wanaochipukia wamesema uzalendo katika muziki haupo mkoani humo. 

Katika mahojiano maalum mchana wa leo na Redio Mbeya FM katika kipindi cha Bongo East 360 kinachoendeshwa na Stanslaus Lambert na Smart “B” wamesema wadau wa muziki huo wakiweka uzalendo mbele vipaji vitaonekana na kukua.

Wasanii hao wanajiandaa na CONCERT la Juni 24 , 2012 litakalofanyika VIBE CLUB.WASANI HAO WALIKETI KATIKA VIUNGA VYA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

No comments:

Post a Comment