Wednesday, June 20, 2012

MBEYA UPDATE: WANANCHI WAIKATAA BAJETI YA SERIKALI MSIMU WA 2012/2013


Wananchi wa Tanzania kwa ujumala wao wamepinga bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2012/2013 kutokana na kutolenga maeneo muhimu kama kilimo ambaop ni uti wa mgongo wa watanzania.
Wakizunguzumza kwa nyakati tofauti Jijini Mbeya wamesema haiwezekani kiapumbele kiweka nje ya kiliomo wakati maelfu ya wananchi wanategeme kilimo kwa kuendesha maisha yao ya kila siku.

Aidha wamesema wabunge kuikukabali bajeti hiyo ni uwendawazimu kwani ni kuwakandamiza waliowapeleka huko MAJILISI.

No comments:

Post a Comment