Wednesday, June 20, 2012

MBEYA UPDATE: CHAMBER YAFUMUKA STENDI KUU, HARUFU MBAYA YATAWALA


U
SAFI ni suala ambalo kila kiumbe kinahitaji kukaa mahali safi kwa ajili ya misha yake kuna wakati unaweza kufikiri kwanini inzi anapenda sehemu zenye uchafu lakini kikumbukwe kwamba uchafu ni kwako binadamu lakini kwa inzi mahali murua kwa ajili ya uhai wake.

Hivyo basi mwanadamu anaanz akuathiri endapo eneo alilopo ni furaha kwa inzi  na hapo ndio dhana nzima ya USAFI inapoonekana.

 CHAMBER karibu ni eneo la Stendi kuu Jijini Mbeya imefumuka kuanza kutoa harufu amabyo ni muhimu sana kwa maisha ya inzi lakini mbaya sana kwa binadamu.

No comments:

Post a Comment