Wednesday, June 20, 2012

MBEYA UPDATE: KAMATI YA MAADILI HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE YAZURU REDIO MBEYA FM

 UJUMBE KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBELAZARO LULANDALA AFISA UTUMISHI AKIZUNGUMZA  JAMBO BAADA YA KUONA UTENDAJIWA REDIO MBEYA FM

KAMATI YA MAADILI ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Mkoani Njombe wamezuru redio Mbeya FM kyuona utendaji wake mapema jana asubuhi.

Katika ziara yao madiwani 4 na wataalmu 2 kutoka katika Halmashauri hiyo amejionea hali halisi ya redio Mbeya FM katika ziara yao ya siku 2 Jijini Mbeya katika kujifunza namna gani wanatakiwa kufanya kazi katika Halamashauri yao huku wakibadilishana uzoefu na wenzao wa Jiji la Mbeya.

Afisa Utumishi Zabuloni Lulandala aliongoza ujumbe huo kutoka Halmshauri ya wilaya ya Njombe

No comments:

Post a Comment