Monday, June 18, 2012

MBEYA UPDATE: KIKONGWE AJINYONGA


Katika Kijiji cha Ikandana,Wilaya ya Ileje mkoani hapa Mzee Obadia Mtafya mwenye umri kati ya miaka 80-85,amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia shuka chumani kwake.

Aidah,hakuna sababu zilizotolewa kuhusiana na kifo chake,tukio ambalo limetokea majira ya saa nne usiku na wakati wa tukio ndugu hawakuwepo nyumbani hapo.

Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi kuhusiana na tukio hilo na kwamba mazishi ya Mzee Mtafya yanafanyika leo Juni 19 mwaka huu kijijini hapo.

No comments:

Post a Comment