Monday, June 4, 2012

MBEYA UPDATE: ASKARI MAGEREZA 700 WAHITIMU


ASKARI  746 wa Jeshi la Magereza nchini wamehitimu mafunzo ya uongozi daraja la kwanza (NCO`S) kozi namba 19 katika Chuo cha Kiwira- Rungwe mkoani Mbeya ambapo Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Augustino Nanyaro aliwatunuku vyeo Koplo na baadhi yao vyeo vya Sajenti.

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Augustino Nanyaro akiwahutubia gwaride la wahitimu hao wa mafunzo ya uongozi

No comments:

Post a Comment