Tuesday, June 19, 2012

EURO 2012 NEWS: BAO LA BALOTELLI LAWAPELEKA ROBO FAINALI ITALIA


Huenda bao la Mario Balotelli likiwa bora zaidi katika michuano hii ya Euro inayoendelea kwa pamoja katika mataifa ya Poland na Ukraine. 

Jana ilishuhudiwa akitokea benchi akiifungia Italia bao la pili na la Ushindi dhidi ya Jamhuri ya Ireland na kusonga mbele katika hatua ya Robo Fainali.
No comments:

Post a Comment