Saturday, June 9, 2012

colors and combinations of the season

Sehemu ya kwanzaInawezekana ukawa una nguo yako ila ulikua hujui utoke nayo vipi, hapa unaweza ukapata idea. Na kama kabati lako halina rangi rangi msimu huu, inabidi ufanye mpango. Mambo yote yako kwenye color combos siku hizi usipitwe

No comments:

Post a Comment