Picha ya kwanza juu inamuonyesha Ryan Giggs akiwa anaongea na Danny Welbeck kwenye mazoezi ya Academy ya Manchester miaka 10 iliyopita, na hii ya chini inawaonyesha wawili hawa wakiwa wanashangilia kwa pamoja goli kwenye kikosi cha Manchester United msimu uliopita.
Giggs is the legend!!!!!!!!!!!!
Imetumwa na Shafii Dauda, Mchambuzi wa Soka nchini Tanzania
No comments:
Post a Comment