Friday, June 15, 2012

TANZANIA FOOTBALL NEWS: CECAFA KUFANYA MKUTANO NA WAANDISHI HABARI ADHUHURI LEO


Dear All,
Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) litakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari.
Siku: Jumamosi (Juni 16, 2012)
Muda: Saa 4.00 asubuhi
Mahali: Ofisi za TFF
Wazungumzaji: Mwenyekiti wa CECAFA, Leodegar Tenga na Katibu Mkuu wa CECAFA, Nicholas Musonye

Regards,

Boniface Wambura
Media Officer
Tanzania Football Federation (TFF)

No comments:

Post a Comment