Saturday, June 9, 2012

TANZANIA FOOTBALL NEWS: AZAM FC KUANZA MAZOEZI KESHOM
ABINGWA wa Kombe la Mapinduzi Azam Fc Jumatatu ya inatarajiwa kuanza kujinoa kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame itakayoanza kutimua vumbi jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi huu.

Msemaji wa msaidizi wa Azam Fc Jaffer Idd Maganga amesema kwamba wachezaji wote wanatakiwa kuripoti kambini siku hiyo tayari kuanza mazoezi yao.Azam Fc inayonolewa na Muingereza Stewart Hall, pia ni wa shindi wa pili wa ligi kuu soka Tanzania Bara

No comments:

Post a Comment