Wednesday, June 20, 2012

MBEYA UPDATE: SHAMBA LA BANGI LATEKETEZWA


Polisi Mkoani Mbeya imeteketeza Shamba la Bangi na kuhifadhi kilo 60 za zao hilo amabalo Mtuhumiwa amekamatwa na Jeshi hilo kwa uchunguzi zaidi.

Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema Mahati Mosney  (30) ni mkazi wa Jiji la Mbeya, Mkulima na Muuzaji wa banghi.

Mtuhumiwa amekamatwa mapema leo asubuhi majira ya saa 5:45 eneo la Mbeya Peak wakati Polisi wakiwa katika doria.  

No comments:

Post a Comment