Wednesday, June 20, 2012

GLOBAL FOOTBALL NEWS: DROGBA AKUBALI KUSAINI SHANGHAI SHENHUA

 Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba juma hili anatarajia kuidhinishwa kujiunga na klabu ya Shanghai Shenhua ya nchini China.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 34 raia wa Ivory Coast inasemekana amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili na nusu wenye thamani ya paundi milioni 25.

No comments:

Post a Comment