Tuesday, June 19, 2012

EURO 2012 NEWS: SPAIN YAITANDIKA CROATIA YAFUZU ROBO FAINALI


Michuano ya Euro 2012 meingia katika hatua nyingine muhimu baada ya kushuhudia miaka ya soka Ulimwengu Hispania na Italia ikitinga katika hatua ya Robo fainali.

Bao pekee la Hispania lilifungwa dakika ya 88 na Mchezaji Jesus Navas  akitokea Benchi kuibadili nafasi ya  Xavi ambaye alitolewa dakika ya 61 ya mchezo huo.
No comments:

Post a Comment