Wednesday, June 20, 2012

EURO 2012 NEWS: QUATER FINAL CZECH REPUBLIC Vs PORTUGAL


Mechi ya kwanza ya Robo Fainali ya Michuano ya Mataifa ya Ulaya inayoendelea nchini Poland na Ukraine itafanyika leo majira ya saa 3:45 kwa saa za Afrika Mashariki.

Miamba iliyopita hatua ya makundi Jamhuri ya Czech (Mshindi KUNDI A) na Ureno (Mshindi wa Pili KUNDI B) watavutana mashati kuwania kucheza hatua ya Nusu Fainali.

Key Match Facts:
-         Ureno haijawahi kutwaa Kombe la Mataifa ya Ulaya; Czech imewahi kutwaa Kombe hilo mwaka 1976 ikiwa Czechoslovakia .
-         Katika mechi 6  zilizopita Ureno imeshinda mechi 3 na kupoteza 1, Jamhuri Czech imeshinda mechi  4 na kupoteza 2
-         Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa pili katika timu ya taifa kwa kutupia wavuni mabao 34 nyuma ya Pauleta (Pedro Miguel Carreiro Resendes) ambaye ametupia 47.
-         Petr Cech, Milan Baros ana Tomas Rosicky ni maveteran katika timu hiyo ya taifa wakiwa wamecheza zaidi ya 70

Czech Republic*:
1996 Runners-Up, 2004 Semi-Finalist [* 1976 Champions as Czechoslovakia]
Portugal:
1984 Semi-Finalist, 2000 Semi-Finalist, 2004 Runners-Up

LINE UP
CZECH
Possible Starting Line-Up [4-1-4-1]: Cech; Gebre Selassie, Sivok, Kadlec, Limbersky; Hubschman; Plasil, Jiracek, Kolar, Pillar; Baros
PORTUGAL
Possible Starting Line-Up [4-3-3]: Rui Patricio; Pereira, Pepe, Alves, Coentrao; Meireles, Veloso, Moutinho; Nani, Postiga, Ronaldo

No comments:

Post a Comment