Wednesday, June 27, 2012

WASIFU 360: R. KELLY NA WIMBO WA SIGN OF A VICTORY

Robert Sylvester Kelly (amezaliwa tar. 8 Januari, 1967) ni mwimbaji wa muziki wa R&Bna soul-mtunzi wa nyimbo, rapa, na mtayarishaji wa rekodi kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama R. Kelly


Alianza kuingia katika kazi ya muziki kwa mara kwanza kunako mwaka wa 1992 akiwa na kundi la Public Announcement, halafu baadaye Kelly akaenda kuwa kama msanii wa kujitegemea mnamo 1993 na kuweza kupata mafanikio makubwa kabisa kwa kazi za kujitegemea baada ya kutoa albamu yake ya 12 Play.

Kelly alifahamika sana kwa mkusanyiko wa vibao vyake vikali kama vile "Bump n' Grind", "I Believe I Can Fly", "Gotham City", "Ignition", "If I Could Turn Back the Hands of Time", "The World's Greatest", na hip-hoperaya "Trapped in the Closet".

Kelly pia ametayarisha na kuimba katika nyimbo nyingine kibao za wasanii wengine wa R&B na hip-hop. Mnamo mwaka wa 1994, Kelly ametayarisha na kutunga albamu ya kwanza ya mwimbaji wa R&B Aaliyah na mwaka wa 1995, Kelly ameshiriki-kutayarisha na kutunga wimbo wa "You Are Not Alone" kwa ajili ya Michael Jackson, ambao uliingizwa kwenye albamu ya Jackson, HIStory.

Kelly ameimba viitikio vya nyimbo kibao maarufu za hip-hop. Nyimbo ni pamoja na "Fuckin' You Tonight" ya The Notorious B.I.G., "We Thuggin'" ya Fat Joe, "Gigolo" ya Nick Cannon, na "Go Getta" ya Young Jeezy, na ameshirikiana na Jay-Z katika albamu mbili za pamoja.

Katika maisha yake binafsi, Kelly amekuwa na kashfa kadhaa za ngono. Taarifa zilielezwa kwamba amemwoa kabinti kadogo Aaliyah, ambaye yeye ndiye alikuwa mtunzi wake wa nyimbo. Kelly na Aaliyah wakasitisha ndoa yao. Baada ya kutolewa video ya mtu moja aliyedaiwa kuwa yeye kufanya mapenzi na msichana mdogo, Kelly akashtakiwa katika kesi kadhaa za ngono za watoto mnamo 2002. Baada ya makawio kadhaa, kesi yake ikapelekwa kizimbani mnamo 2008, na baraza la wazee wa mahakama likamwona Kelly hana kosa katika mshtaka yote 14.

"Sign Of A Victory"
I can see the colors of the rainbow
And I can feel the sun on my face
I see the light at the end of the tunnel
And I can feel heaven in it's place

And that's the sign of a victory [x2]

I can feel the spirit of the nations
And I can feel my wings ridin' the winds, yeah
I see the finish line just up ahead now
And I can feel it risin' deep within

And that's the sign of a victory [x2]

Now I can see the distance of the journey
High and front with all your might
You open your eyes to global warming
Been through it all, you sacrificed your life

And that's the sign of a victory [x2]

If we believe, we can achieve anything
Including the impossible, this I know
So let's lift up our heads, yeah
And raise the flag, yeah yeah
And scream like you want to win
Now let the games begin!

That's the sign of a victory [x4]

When you keep on fightin'
After you lost your strength
That's the sign of a victory

When darkness is all around you
You still find your way
That's the sign of a victory

Come on and sing
Lift up your voice and sing
Stand up, oh yeah, stand up
The sign of a victory
Ooooohh ohh ohhhh
That's the sign of a victory


No comments:

Post a Comment