Thursday, June 14, 2012

TANZANIA FOOTBALL NEWS: SHOMARI KAPOMBE MWANASOKA BORA 2011/2012

Mchezaji wa zamani wa timu ya Coast Union ya Tanga na Timu ya taifa Salim Amir akikabidhi tuzo kwa mchezaji Shomari Kapombe

Mwenyekiti wa kamati ya Tuzo za TASWA Masoud Saanane akizungumza katika hafla ya utozi wa tuzo hizo usiku huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.

No comments:

Post a Comment