Thursday, June 14, 2012

TANZANIA ENTERTAINMENT NEWS: DOGO JANJA APOKOLEWA ARUSHA NA JCB, ASEMA HANA HAJA YA KUMSHTAKI MADEE


JANA MCHANA ALIKUWA AKIHOJIWA NA REDIO MBEYA FM KATIKA KIPINDI CHA "BONGO EAST 360" AKIWA SAFARINI KUELEKEA ARUSHA KIMASOMO.
DOGO Janja alisema anamwachia Mungu kwa yote yaliyomkuta hana haja ya kwenda kumshtaki Madee katika mahakama kwa dhuluma alizomtendea.


"Kiukweli ishu ya Dogo janja imenifanya nisipate usingizi hadi dk hii;

Madee kwanini alikuwa akimlipa dogo janja TZS 50,000 katika show hadi la Million moja,
TIP TOP kwanini hamkumfungulia dogo hata akaunti zile za watoto na kama ipo akaunti yake ipo na kiasi gani cha fedha ukilinganisha na show zake?

NIMEGUNDUA KUNA BAADHI YA WASANII WANAPENDA FEDHA ZA KIURAHISI NDO MAANA SKENDO ZaO nyuma ya kapeti WaNA....!"

No comments:

Post a Comment