Thursday, June 28, 2012

ROONEY AAMUA KUPOTEZA MAWAZO JIJINI LOS ANGELES, MAREKANI.

Ashley Cole akipita kuwasabahi kina Rooney katika hoteli hiyo.
Rooney na mkwewe wakiota jua huku wapata vinywaji katika bwawa la kuogelea.
Wayne Rooney akiwa na mkwewe Coleen katika bwawa la kuogelea katika hoteli moja iliyopo jijini Los Angeles.


No comments:

Post a Comment