Monday, June 11, 2012

MBEYA UPDATE: PRODUZA ZEST MATATANI NA ALI ABDUL


P
roduza Zest Juma wa Moja Moja Records iliyopo Ilemi Darjani Jijini Mbeya amegoma kutoa ushirikiano na Msanii wa Kizazi Kipya Ali Abdul baada ya Ali Abdul kusema hakusaidiwa naye kuingia katika hali ya ubora.

ZAIDI KUHUSU HILI TUTAKULETEA… Stay tuned!!!!! 

ZIFUATAZO AMBAZAO WALIPIGWA WAKATI WAKIHOJIWA NA REDIO MBEYA FM Juni 8 , 2012 katika Kipindi kinachowika Jijini Mbeya kwa Redio za Kanda hiyo “BONGO EAST 360”.
 MSANII ALI ABDUL
 PRODUZA ZEST, SMART B(MTANGAZAJI WA REDIO MBEYA FM) NA MSANII ALI ABDUL
 ISAKA SWALO, CAMAREMAN KUTOKA MAKUNGURU AKICHUKUA  PICHA.
 SMART B  AKIZUNGUMZA JAMBO

 PICHA PAMOJA YA ISAKA, STANSLAUS LAMBERT (MTANGAZAJI WA REDIO MBEYA FM) PRODUZA ZEST, MSANII  ALI ABDUL KUKIN MIZZO

 KUKI NIZZO AKIZUNGUMZA




No comments:

Post a Comment