M |
iss Talent Season I imefanyika katika viwanja vya Maisha Plus Jijini Mbeya kwa kuwapata warembo wawili ambao ni Miss Nanji wa Sekondari ya LEGICO na Pretty Angel wa Sekondari ya Siuthern Highlands jioni hii.
PRETTY ANGEL
MISS NANJI
Miss Talent Season I imelijikita katika kutafuta Mrembo na Msanifu wa Mavazi ndani ya “Black Talent Event”
Black Talent Event imeanzishwa katika harakati ya kutafuta vijana kwa mtu mweusi ambaye katika ulimwengu huu wa Utandawazi ameonekana kituko.
Katika Event hiyo kimeshuhudiwa Burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wa muziki kutoka mkoani Mbeya.
No comments:
Post a Comment