Friday, June 15, 2012

MBEYA UPDATE: MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA MGENI RASMI AWASILI


Kilele cha Siku ya Mtoto wa Afrika ni Kesho kwa Mataifa yote barani Afrika yaliyo chini ya Umoja wa Afrika (AU) ambapo leo Jijini Mbeya Shirika lisilo la kiserikali la Child Support Tanzania limefanya matembezi ya Hiari kuadhimisha siku hiyo. MGENI RASMI ni Askofu wa Anglikana Dayosisi ya Nyanda za Juu Kusini John Mwela

 ASKOFU JOHN MWELA
 MLEMAVU
 MKURUGENZI MTENDAJI NOELA SHAWA WA CHILD SUPPORT TANZANIA MGENI RASMI AKISAINI KITABU CHA WAGENI KATIKA SHAMRASHAMRA HIZO

No comments:

Post a Comment