Saturday, June 9, 2012

MBEYA UPDATE: HATIMAYE EMMY SANGA AFUNGA HARUSI

HARUSI HII ILIFUNGWA JUMAMOSI YA JUNI 2, 2012, katika Kanisa la Anglikna Mbeya Mjini 
 BLOGU YA JAIZMELALEO INATOA PONGEZI KWA WANANDO HAWA GUYDON MAKULILA NA EMMY SANGA.
EMMY SANGA NI MFANYAKAZI NA MTANGAZAJI WA REDIO HIGHLANDS FM.BLOGU YA JAIZMELALEO ITAENDELA KUKULETEA picha zaidi katika tukio hili muhimu katika maisha ya mwanadamu


No comments:

Post a Comment