Saturday, June 23, 2012

EURO 2012 NEWS: VIBE EURO FANS ZONE YAFANYIKA, WASHINDI WAJINYAKULIA JEZI


Hatimaye washindi katika EURO Vibe Fans Zone wamepatikana usiku wa kuamkia leo baada ya kushinda maswali waliyoulizwa, katika mechi ambayo Ufaransa walifungasha virago na kurudi PARIS baada ya kunyukwa mabao 2-0 na Hispania

Mwalimu Gwakisa Mwakyami wa St. Aggrey na Richard Kibonde.


No comments:

Post a Comment